Better Dayz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.5
 
Mstari 22:
'''''Better Dayz''''' ni jina la kutaja albamu ya tatu kutolewa baada ya kifo cha hayati [[Tupac Shakur]], na ya mwisho mpaka sasa kuwa albamu mbili pamoja.
 
Albamu ilitolewa mnamo mwezi wa Novemba 2002, na kushika nafasi ya 5 kwenye chati za [[Billboard|Billboard 200]]. Albamu inakusanya pamoja maujanja na manyimbo remixi kadhaa yasiyotolewa kutoka katika kipindi cha Tupac cha "[[Makaveli]]" wakati anaingia mkataba na [[Death Row Records]], na -litayarishwa na [[Johnny "J"]], [[Jazze Pha]], [[Frank Nitty]], na [[E.D.I.]] wa [[Outlawz]]. Vibao vikali vinajumlishwa na "My Block (remix)," "When We Ride on Our Enemies," "Catchin' Feelins" na "Never Call U Bitch Again". Pia ni pamoja na "Military Minds" ambayo ameshirikisha wanachama wa [[Boot Camp Clik]] - Buckshot na Smif-n-Wessun (ameingia kama Cocoa Brovaz) ambayo ilitakiwa iwe ushirikiano wa kialbamu baina ya Shakur na BCC lioitwa ''One Nation'' lakini haikutolewa rasmi kwa kufuatia kifo cha Shakur. Inashirikisha rekodi zisizotolewa 23 ikiwa pamoja na maremixi kadhaa ya kuanzia kipindi cha 1995-1996 pamoja na ingizo fulani la Shakur kwa ajili ya albamu kabla kupigwa risasi kinyama - ikiwa pamoja na kuonekana kwake [[Nas]], [[Outlawz]], [[Mýa]], [[Jazze Pha]], [[Ron Isley]], na [[Tyrese]], na wengine wengi. Single bab-kubwa, "Thugz Mansion," imekuja katika matoleo mawili: toleo la akustika la Nas, ambayo muziki wake wa video umetokana na toleo la hip-hop akimshirikisha [[Anthony Hamilton]]. Mnamo tar. [[31 Januari]] [[2003]], [[RIAA certification|ilitunukiwa]] 2x Platinum nchini Marekani.<ref>[http://www.riaa.com/goldandplatinumdata.php?resultpage=1&table=SEARCH_RESULTS&action=&title=Better%20Dayz&artist=&format=&debutLP=&category=&sex=&releaseDate=&requestNo=&type=&level=&label=&company=&certificationDate=&awardDescription=&catalogNo=&aSex=&rec_id=&charField=&gold=&platinum=&multiPlat=&level2=&certDate=&album=&id=&after=&before=&startMonth=1&endMonth=1&startYear=1958&endYear=2007&sort=Artist&perPage=50 RIAA database search] {{Wayback|url=http://www.riaa.com/goldandplatinumdata.php?resultpage=1&table=SEARCH_RESULTS&action=&title=Better%20Dayz&artist=&format=&debutLP=&category=&sex=&releaseDate=&requestNo=&type=&level=&label=&company=&certificationDate=&awardDescription=&catalogNo=&aSex=&rec_id=&charField=&gold=&platinum=&multiPlat=&level2=&certDate=&album=&id=&after=&before=&startMonth=1&endMonth=1&startYear=1958&endYear=2007&sort=Artist&perPage=50 |date=20150924152824 }}, 18 Novemba 2007</ref>
 
==Orodha ya nyimbo==