Desmond Tutu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary |
||
Mstari 5:
Ilipofika [[mwaka]] wa [[1984]] alipokea [[Tuzo ya Nobel]] [[Tuzo ya Nobel ya Amani|ya amani]] kwa kupigania bila [[silaha]] [[haki]] za [[Afrika|Waafrika]] wote dhidi ya [[ubaguzi wa rangi]] [[Apartheid|nchini mwake]].
== Familia na elimu ==
Desmond Mpilo Tutu alizaliwa Katika Familia masikini ya mchanganyiko wa Waxhosa na Watwana. Alisoma ualimu akamwoa . Mnamo 1960 alibarikiwa padre wa Kanisa Anglikana. 1962 alihamia Uingereza aliposoma theolojia. iporudi Afrika Kusini mnamo 2966 alifundisha kwenye chuo Cha theolojia kisha Chuo Kikuu cha Botswana na Uswazi.▼
Desmond Mpilo Tutu alizaliwa katika familia ya mchanganyiko wa [[Waxhosa]] na [[Watwana]]. Babake Zachariah Tutu alikuwa mwalimu mkuu wa shule ya sekondari na mamake Aletha Matlhare alikuwa mfanyakazi ya nyumbani.<ref name="history">[[South African History Online]]: [http://www.sahistory.org.za/people/archbishop-emeritus-mpilo-desmond-tutu ''Archbishop Emeritus Desmond Mpilo Tutu'']. kwenye ''www.sahistory.org.za'' </ref> Alisoma ualimu akamwoa Leah Nomalizo Shenxane akazaa naye watatoto wanne Trevor Thamsanqa, Theresa Thandeka, Naomi Nontombi (* 1960) na Mpho Andrea (*1963 mjiini [[London]]) .
▲
== Maandishi yake ==
|