Eklampsia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Add 1 book for verifiability (20211117)) #IABot (v2.0.8.2) (GreenC bot
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.5
Mstari 15:
| MeshID = D004461
}}
'''Eklampsia''' ni mwanzo wa [[mitukutiko]] (misukosuko) katika mwanamke aliye na [[prekilampsia]].<ref name=W2014/> Prekilampsia ni ugonjwa wa ujauzito ambapo kuna [[shinikizo la juu la damu]] na uwepo wa viwango vikubwa vya [[protiniuria|protini kwenye mkojo]] au utendakazi mwingine duni wa viungo.<ref>{{cite journal|last1=Lambert|first1=G|last2=Brichant|first2=JF|last3=Hartstein|first3=G|last4=Bonhomme|first4=V|last5=Dewandre|first5=PY|title=Preeclampsia: an update.|journal=Actaanaesthesiologica Belgica|date=2014|volume=65|issue=4|pages=137–49|pmid=25622379}}</ref><ref name=ACOG2013>{{cite journal|title=Hypertension in pregnancy. Report of the American College of Obstetricians and Gynecologists’ Task Force on Hypertension in Pregnancy.|journal=ObstetGynecol.|date=Nov 2013|volume=122|issue=5|pages=1122–31|doi=10.1097/01.AOG.0000437382.03963.88|pmid=24150027|url=http://www.tsop.org.tw/db/CFile/File/8-1.pdf|access-date=2016-03-11|archive-date=2016-01-06|archive-url=https://web.archive.org/web/20160106101141/http://www.tsop.org.tw/db/CFile/File/8-1.pdf|dead-url=yes}}</ref> Ugonjwa huu unaweza kuanza kabla, wakati wa, au baada ya [[kuzaa|kujifungua]].<!-- <ref name=W2014/> -->Mitukutiko ni ya aina ya [[kitoni na kiklonasi]] na kwa kawaida hudumu kwa takriban dakika moja.<!-- <ref name=W2014/> --> Baada ya mtukutiko, kwa kawaida [[kipindi cha kutojitambua |kipindi cha kuchanganyikiwa]] au [[kupoteza ufahamu]] hufuatia .<!-- <ref name=W2014/> --> Matatizo hujumuisha: [[numonia ya kuvimba mapafu]], [[kuvuja damu kwenye ubongo]], [[kushindwa kwa figo]] na [[mshtuko wa moyo]].<!-- <ref name=W2014/> --> Prekilampsia na eklampsia ni sehemu ya kikundi kikubwa zaidi cha hali zinazojulikana kama [[magonjwa ya shinikizo la juu la damu katika ujauzito]].<ref name=W2014>{{cite book|title=Williams obstetrics|url=https://archive.org/details/williamsobstetri0024unse|date=2014|publisher=McGraw-Hill Professional|isbn=9780071798938|edition=24th|chapter=40}}</ref>
 
==Kinga na matibabu ==