Hilarioni wa Gaza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.5
 
Mstari 15:
Huko Thabatha alikuta [[wazazi]] wake wameshakufa, hivyo aligawa [[urithi]] wake kwa [[ndugu]] na [[fukara|mafukara]], akaondoka kwenda upwekeni sehemu mbalimbali<ref name=schaff/>, akiwa na vichache na [[Saumu|kufunga]] vikali hasa aliposhawishwa kufanya [[uasherati]].<ref name=kirsch/> Ndiyo maana alikonda sana, mbali ya kwamba toka mwanzo alikuwa na [[afya]] mbovu. Alipata [[riziki]] zake kwa kutengeneza [[kapu|makapu]].<ref name=kirsch/>
 
Hilarioni alipatwa na [[jaribu|majaribu]] mengi<ref>"So many were his temptations and so various the snares of demons night and day, that if I wished to relate them, a volume would not suffice. How often when he lay down did naked women appear to him, how often sumptuous feasts when he was hungry!" (Jerome, Life of St Hilarion, 7)</ref>, yakiwemo [[ukavu wa kiroho]] na [[kishawishi]] cha [[kukata tamaa]].<ref name=foley>[{{Cite web |url=http://www.americancatholic.org/Features/Saints/saint.aspx?id=1175 |title=Foley O.F.M., Leonard, ''Saint of the Day: Lives, Lessons, and Feasts'', (rev. Pat McCloskey O.F.M.), Franscican Media] |accessdate=2016-09-18 |archivedate=2016-03-04 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20160304054646/http://www.americancatholic.org/Features/Saints/saint.aspx?id=1175 }}</ref>
 
Alipozidi kutembelewa alijitafutia mahali pa mbali zaidi: kwanza Misri, halafu [[Sicily]], [[Dalmatia]] na hatimaye [[Cyprus]] alipofariki mwaka 371.