Mvutano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
makosa ya tahajia yamerekebishwa; kiwakilishi "sisi" na namna za vitenzi zinazolingana nacho vimeondolewa, kama ifaavyo kamusi elezo
Mstari 4:
'''Graviti''' (kutoka [[Kiingereza]]: "gravity"; pia: '''kani ya mvutano''', '''kanimvutano''', '''nguvu ya uvutano''', '''nguvu mvutano''') ni [[kani]] ya uvutano iliyopo kati ya [[gimba|magimba]] yote ya [[ulimwengu]]. Kila gimba lenye [[masi]] linavuta magimba yote mengine yenye masi.
 
Hii ndiyo sababu tunatembeawatu wanatembea ardhini ilhliilhali hatuwezihawawezi kuelea hewani: kwa sababu masi ya Dunia inatuvutainawavuta kuelekea kitovu chake. Inavuta kila kitu chenye masi kuelekea kitovu chake. Na sisi pia tunaivutawatu wanaivuta Dunia, lakini kani hii ni ndogo mno kulingana na masi kubwa mno ya Dunia. Dunia yetu imeshikwa na mvuto mkali wa graviti ya Jua na hii ndiyo sababu ya Dunia kubaki karibu na Jua katika obiti na haiwezi kutoroka kwenda mbali na Jua.
 
TukitupaJiwe jiwelikitupwa hewani, litaanguka chini. Hii ni kwa sababu, ingawa kani ya mkono ilipeleka jiwe kwenda juu lakini, kani ya graviti ya Dunia inapunguza kasi ya jiwe na hatimaye inalirudisha jiwe ardhini.
 
Tabia ya kuvutana inaonekana vemavyema kati ya Dunia na Mwezi. Dunia ni kubwa, inauvuta Mwezi na kuushika kwenye njia yake ya kuzunguka Dunia. Lakini wakati huohuo Mwezi unavuta pia Dunia na hii inaonekana baharini katika mabadiliko ya maji kupwa na maji kujaa kila siku. Maji ya bahari huvutwa na Mwezi kiasi kwamba kwenye sehemu ya Dunia inayotazama Mwezi, maji ya bahari yaliyo moja kwa moja chini ya Mwezi huinuliwa kiasi nusu mita juu ya wastani wa usawa wa bahari yote.
 
[[Isaac Newton]] anajulikana kama [[mtaalamu]] aliyeweza kueleza graviti kwa mara ya kwanza kama utaratibu wa kimsingi wa sayansi.