Desmond Tutu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
Ilhali sheria mpya ya apartheid iliagiza kwamba watoto Waafrika wapete elimu ya duni tu, Tutu aliachana na ualimu. Mwaka 1958 alianzisha kazi ya kiroho katika Kanisa Anglikana ya Afrika Kusini (iliyopinga siasa ya [[apartheid]]) akaanza kusoma uchungaji kwenye chuo cha theolojia ya St. Peter huko Johannesburg, aliposo,a kwa mwalimu wake [[Trevor Huddleston]] aliyekuwa mkuu wa chuo. Mnamo mwaka 1960 alihitimu masomo akabarikiwa kama shemasi ya Kanisa Anglika, na mwaka 1961 aIilibarikiwa upadre<ref name="aaregistry">[http://www.aaregistry.org/historic_events/view/desmond-tutu-anglican-archbishop-who-serves-all-humanity Eintrag: ''Desmond Tutu''] auf aaregistry.org</ref>
 
1962 alihamia Uingereza aliposoma theolojia. Tasnia yake ya [[uzamili]] ilikuwa kuhusu Uislamu katika Afrika ya Magharibi.{{sfnm|1a1=Gish|1y=2004|1p=35|2a1=Allen|2y=2006|2pp=92, 95}}Alisema baadaye kuwa alitambua kuna ubaguzi wa rangi huko, lakini yeye na familia yake hawakuukata. alivutwa na uhuru wa kutamka maono jinsi alivyoishuhudia kwenye "speakers' corner" kwenye Hyde Park London. Kipindi chake cha London kilimsaidia kuachana na uchungu wote dhidi ya watu weupe na kujisikia mdogo mbele yao.
1962 alihamia Uingereza aliposoma theolojia. Aliporudi Afrika Kusini mnamo 1966 alifundisha kwenye chuo cha theolojia kisha Chuo Kikuu cha Botswana na Uswazi<ref>[http://www.sahistory.org.za/people/archbishop-emeritus-mpilo-desmond-tutu Archbishop Emeritus Mpilo Desmond Tutu]</ref>.
 
Tutu's time in London helped him to jettison any bitterness to whites and feelings of racial inferiority; he overcame his habit of automatically deferring to whites.
Mnamo 1972 alirudi Uingereza alipokuwa mkurukugenzi naibu wa [[Halmashauri ya Kiekumeni ya Makanisa|Mfuko wa Elimu ya Theolojia wa Baraza la Makanisa Duniani]].
 
1962Mwaka alihamia1966, UingerezaTutu pamoja na familia walihamia Yerusalemu Mashariki aliposoma theolojia.Kiarabu na Kigiriki kwa miezi miwili.{{sfnm|1a1=Gish|1y=2004|1p=39|2a1=Allen|2y=2006|2pp=98–99}}Aliporudi Afrika Kusini mnamo 1966 alifundisha kwenye chuo cha theolojia kisha Chuo Kikuu cha Botswana na Uswazi<ref>[http://www.sahistory.org.za/people/archbishop-emeritus-mpilo-desmond-tutu Archbishop Emeritus Mpilo Desmond Tutu]</ref>.
Drei weitere Jahre verbrachte er als stellvertretender Direktor am ''Theological Education Fund of the World Council of Churches'' in [[London Borough of Bromley|Bromley]]. 1975 kehrte er nach Johannesburg zurück, wo er, als erster schwarzer Afrikaner, anglikanischer [[Dekan (Kirche)|Dekan]] an der St.-Mary’s-Kathedrale wurde.<ref name="Gastrow 1986" />
 
== Kazi ya Baraza la Makanisa Duniani ==
Mnamo 1972 alirudi Uingereza alipokuwa naibu mkurukugenzi wa [[Halmashauri ya Kiekumeni ya Makanisa|Mfuko wa Elimu ya Theolojia wa Baraza la Makanisa Duniani]]. Kikazi alihusika kukubali maombi ya misaada ya gharama ya masomo kwa wanafunzi na vyuo.{{sfnm|1a1=Gish|1y=2004|1p=53|2a1=Allen|2y=2006|2p=123}} Hapa alitakiwa kutembelea nchi mbalimbali za Afrika akatunga taaifa juu ya safari zake..{{sfnm|1a1=Gish|1y=2004|1p=53|2a1=Allen|2y=2006|2p=124}} Huko Zaire alikutana na ulaghai na rushwa pamoja na umaskini zilizoenea chini ya utawala wa [[Mobutu Sese Seko]]. Katika ziara ya ya Nigeria aliandika kuhusu masoikitika ya [[Waigbo]] baada ya ugandamizaji wa uhuru wa [[Biafra]]. Alipenda serikali ya [[Jomo Kenyatta]] huko Kenya akasikitika kufukuzwa kwa Wahindi katika [[Uganda]] chini ya [[Idi Amin]].
 
Wakati ule alikutana na mafundisho ya theolojia ya ukombozi na majadiliano ya ''Black Theology'' kutoka Marekani.
 
== Padre, Katibu Mkuu na Askofu ==
1975 alitudi tena Afrika Kusini alipokuwa padre kiongozi kwenye kanisa kuu la Mariamu mjini Johannesburg, akiwa Mwafrika wa kwanza katika nafasi hiyo.<ref name="Gastrow 1986" /> Hakuishi katika makazi rasmi ya padre kiongozi yaliyokuwapo kwenye "eneo jeupe" bali katika mtaa wa watu weusi. Usharika wake ulikuwa na washarika wengi weupe ilhali idadi ya Waafrika weusi ilikuw andogo zaidi na kwa jumla maarifa hayo yalimpa tumaini kwamba ushirikiano wa mbari tofauti utakuwa na nafasi nzuri nchini<ref>Allen, John (2006). Rabble-Rouser for Peace: The Authorised Biography of Desmond Tutu. London: Rider. <nowiki>ISBN 978-1-84-604064-1</nowiki>. uk. 147 ff, [https://books.google.co.tz/books?id=IIxMu_US0ssC&printsec=frontcover&dq=desmond+tutu&hl=sw&sa=X&redir_esc=y#v=onepage&q=desmond%20tutu&f=false<nowiki> online hapa]</nowiki></ref>.
 
Mwaka uliofuata alichaguliwa kuwa askofu wa Lesotho. Baada ya kushika nafasi hii akachaguliwa 1978kuwa katibu mkuu wa Baraza la Makanisa ya Afrika Kusini. Aliendelea katika ofisi hii hadi mwaka 1985. Wakati ule alifahamika zaidi kimataifa akisafiri na kukutana na viongozi wa serikali za nchi nyingi akitatafuta usaidizi wako kushawishai seriklai ya afrika Kusini kumaliza unaguzi warangi. Kutokana na jitihada hizo aliteuliwa kupokea Tuzo ya Nobel ya Amani kwa mapambano yake dhidi ya ubaguzi wa rangi ya apartheid nchini Afrika Kusini bila kutumia mabavu.
 
== Maandishi yake ==