Desmond Tutu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Archbishop-Tutu-medium.jpg|thumb|Desmond Tutu, [[Askofu mkuu]] ''Emeritus'' wa [[Cape Town]]]]
'''Desmond Mpilo Tutu''' ([[7 Oktoba]] [[1931]] - [[26 Desemba]] [[2021]]) alikuwa mwanatheolojia na padre wa [[Waanglikana|Kanisa Anglikana]] nchini [[Afrika Kusini]]. Anafahamika kwa kazi yake ya kutetea haki za binadamu na kupinga ubaguzi wa apartheid. 1985 hadi 1986 alikuwa askofu WAwa Johannesburg kisha askofu mkuu wa Cape Town kati ya 1986 hadi 1996. Katika nafasi totezote mbili alikuwa Mwafrika wa kwanza wa kuchaguliwa.
 
Ilipofika [[mwaka]] wa [[1984]] alipokea [[Tuzo ya Nobel]] [[Tuzo ya Nobel ya Amani|ya amani]] kwa kupigania bila [[silaha]] [[haki]] za [[Afrika|Waafrika]] wote dhidi ya [[ubaguzi wa rangi]] [[Apartheid|nchini mwake]].
Mstari 42:
 
== Mteteaji wa Haki za Binadamu na Washoga ==
Tutu aliendelea kupigania haki za binadamu. Alipokuwa askofu, alianza kubariki wanawake kuwa mapadre akatetea nafasi kamii ya wanawake kanisani<ref>Allen, John (2006), uk. 280</ref>.
 
Alifahamika hasa kwa kutetea haki za washoga. Tutu aliona ubaguzi dhidi ya washoga kuwa sawa na ubaguzi dhidi ya watu weusi au dhidi wanawake. Alisema "Kama ingekuwa kweki kwamba Mungu anachukia washoga, nisingemwabudu. Lakini si kweli."<ref>http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/7100295.stm Tutu chides Church for gay stance, BBC 18.11.2007</ref> Mwaka 2011 aliomba kanisa la Afrika Kusini kukubali ndoa za jinsia moja.
 
Alishiriki katika majadiliano kuhusu maswala ya Israeli na Palestina akitetea haki ya Israeli kuendelea kuwepo katika mipaka ya 1967 lakini alikemea serikali yake kwa kuenea katika ardhi ya Wapalestina na kutoheshimu haki za Wapelestina<ref>Allen (2006), uk. 388</ref>.
 
Mwaka 2006 Tutu nalianzishaalianzisha kampeni ya kimataifa ya kupambana na biashara ya watoto akisisitiza ni muhimu watoto wote waandikishwe nserikaini baada ya kuzaliwa<ref>https://web.archive.org/web/20131008064019/http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/4289393.stm "Tutu calls for child registration". BBC News. 22 February 2005. </ref>.
 
Katika hotuba za hadharani alikosoa maraisi [[Thabo Mbeki]] na [[Jacob Zuma]]; aliona Mbeki alitaka wanaANC wanyamaze mbele ya uongozi na kuitikia kila jambo linalotangazwa kutoka juu, pia alimkosoa Mbeki kwa kutopigana na mlipuko wa Ukimwi nchini. Alimwona Zuma kuwa mtu mwenye kasoro nzito za kimaadili baada ya mashtaka ya ubakaji na [[ulaji rushwa]] dhidi yake<ref>https://web.archive.org/web/20080307052155/http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/5384310.stm "S Africa is losing its way - Tutu". BBC News. 27 September 2006. </ref>. Alikemea pia siasa ya Afrika Kusini kuhusu [[Zimbabwe]] alipoona udikteta wa [[Robert Mugabe|Mugabe]] kuwa mbaya zaidi mwaka baada ya mwaka.
 
== Maandishi yake ==
Line 59 ⟶ 61:
* ''No Future without Forgiveness'', 1999
* ''An African Prayerbook'', 2000
* ''God Has a Dream: A Vision of Hope for Our Time'', 2004
 
{{mbegu-mwanasiasa}}
== Marejeo ==
{{Marejeo}}{{mbegu-mwanasiasa}}
{{DEFAULTSORT:Tutu, Desmond}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1931]]