Tovuti : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit |
Fixed typo, added links Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit |
||
Mstari 1:
'''Tovuti''' ni mtandao mpana ambao huunganisha tarakilishi zote duniani. Kupitia tovuti watu wanaweza kubadilishana habari, kuwasiliana, kufanya utafiti, n.k Tovuti haimilikiwi na mtu binafsi bali kila mtu ana uhuru wa kuitumia. Hata hivyo, kuna jopo la wataalamu ambalo huitwa '''Internet Engineering Task Force''' ambalo husimamia na kuhakikisha wiwango vya tovuti vinafatwa ipasavyo. Jopo hilo ni kitengo huru; hivyo, yeyote anaweza kuhudhuria mikutano yao, kupendekeza jambo fulani jipya au hata la zamani. Kwa ufupi,
== Viungo vya nje ==
|