Tovuti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Fixed typo, added links
Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit
Added links
Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Tovuti''' ni mtandao mpana ambao huunganisha tarakilishi zote duniani. Kupitia tovuti watu wanaweza kubadilishana habari, kuwasiliana, kufanya utafiti, n.k Tovuti haimilikiwi na mtu binafsi bali kila mtu ana uhuru wa kuitumia. Hata hivyo, kuna jopo la wataalamu ambalo huitwa '''Internet Engineering Task Force''' ambalo husimamia na kuhakikisha wiwango vya tovuti vinafatwa ipasavyo. Jopo hilo ni kitengo huru; hivyo, yeyote anaweza kuhudhuria mikutano yao, kupendekeza jambo fulani jipya au hata la zamani. Kwa ufupi, [[tovuti]] kwa kiingereza ni [[Internet]], [[Mtandao wa simu za rununu|mtandao]] ni [[network]] na [[wavuti]] ni [[website]].
 
== Viungo vya nje ==