Tovuti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Added links
Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya Steven883 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Synoman Barris
Tag: Rollback
Mstari 1:
'''Tovuti''' ni mkusanyiko wa kurasa zilizoandikwa kwa lugha mbalimbali za [[tarakilishi]] kama vile [[HTML]], [[PHP]], [[XHTML]] na kadhalika na ambazo kwa pamoja hujumuika katika kutoa habari au maelezo kuhusu jambo fulani. Lugha hizi, yaani HTML, PHP, XHTML na kadhalika zinaweza tu kusomwa na kutafsiriwa na programu kama vile [[Internet Explorer]] [[Google Chrome]] na [[Mozilla Firefox]] kwa lugha ambayo inaweza kueleweka na binadamu. Wingi wake ni "tovuti" vile vile. Tovuti zote pamoja zinaitwa "[[mtandao]]" au "[[Intaneti]]" au "wavuti".
'''Tovuti''' ni mtandao mpana ambao huunganisha tarakilishi zote duniani. Kupitia tovuti watu wanaweza kubadilishana habari, kuwasiliana, kufanya utafiti, n.k Tovuti haimilikiwi na mtu binafsi bali kila mtu ana uhuru wa kuitumia. Hata hivyo, kuna jopo la wataalamu ambalo huitwa '''Internet Engineering Task Force''' ambalo husimamia na kuhakikisha wiwango vya tovuti vinafatwa ipasavyo. Jopo hilo ni kitengo huru; hivyo, yeyote anaweza kuhudhuria mikutano yao, kupendekeza jambo fulani jipya au hata la zamani. Kwa ufupi, [[tovuti]] kwa kiingereza ni [[Internet]], [[Mtandao wa simu za rununu|mtandao]] ni [[network]] na [[wavuti]] ni [[website]].
 
== Viungo vya nje ==