Tovuti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Steven883 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Synoman Barris
Tag: Rollback
No edit summary
Mstari 1:
'''Tovuti''' ''([[Kiing.]] website)'' ni mkusanyiko wa kurasa zilizoandikwa kwa lugha mbalimbali za [[tarakilishi]] kama vile [[HTML]], [[PHP]], [[XHTML]] na kadhalika na ambazo kwa pamoja hujumuika katika kutoa habari au maelezo kuhusu jambo fulani. Lugha hizi, yaani HTML, PHP, XHTML na kadhalika zinaweza tu kusomwa na kutafsiriwa na programu kama vile [[Internet Explorer]] [[Google Chrome]] na [[Mozilla Firefox]] kwa lugha ambayo inaweza kueleweka na binadamu. Wingi wake ni "tovuti" vile vile. Tovuti zote pamoja zinaitwa "[[mtandao]]" au "[[Intaneti]]" au "wavuti".
 
== Viungo vya nje ==