Defao : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 12:
| Kazi yake = [[mwimbaji|mwimbaji/]][[mtunzi wa nyimbo]], [[mwanamuziki]]
| Aina ya sauti =
| Miaka ya kazi = 1976 - hadi sasa2021
| Studio =
| Ameshirikiana na = Orchestre Suka Movema, Fogo Stars, Bozi Boziana, Grand Zaiko Wawa, Pepe Felix Manuaku
Mstari 18:
| Ala zinazojulikana =
}}
'''Matumona Francois''' (amezaliwa [[31 Desemba]], [[1958]] - [[27 Desemba]] [[2021]]) - pia anajulikana kama '''General Defao''' ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchi ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Defao Matumona, huonekana kama miongoni mwa waimbaji wa Kikongo wenye majina makubwa.
Kazi zake za muziki hasa huzifanyia hukohuko kwao Kongo. Alianza kuimba mwaka 1976 kwenye makundi madogomadogo, huko mjini [[Kinshasa]]. Waliomvutia kuingia katika muziki kwa kipindi hicho ni [[Papa Wemba]], [[Nyoka Longo]], [[Gina Efonge Evoloko]] na waimbaji wanne wa kundi la Zaiko la miaka ya sabiini. Lakini yule hasa aliyemvutia akiimba ni [[Tabu Ley Rochereau]].
Tangu mwaka 1991, amenzisha bendi yake mwenyewe, The Big Stars, kwa lengo la kuwa nyota wa Afrika. Alifanya hili kwa kuwa nchini mwao ukishindwa kutimiza jambo fulani watu wanakucheka na huona wivu wengine wakifanikiwa - ndiyo-maana anafanya juhudi kubwa ili tu apate mafanikio.
Hayo yametokea kwa sababu asilimia kubwa wanamuziki wa Kongo hawana subira. Wanataka kila kitu harakaharaka. Sasa hivi katika umri wake miaka hamsini, Defao anachukulia mambo kadiri yanavyokuja na si kwa pupa tena. Anajua ya kwamba, kwake, kibao kitamgeukia.
 
==Maisha na muziki==
Amezaliwa huko mjini [[Kinshasa]] mnamo tarehe [[31 Desemba]] [[1958]] na jina la Matumona Defao Lulendo. Alianza kazi ya muziki mnamo mwaka wa 1976, awali akiwa na Orchestre Suka Movema, halafu baadaye Fogo Stars ikafuatiwa na Korotoro na mwaka wa 1978 Somo West. Mwaka wa 1981 alijiandikisha na kundi jipya kabisa la wakati huo Grand Zaiko Wawa na mpigaji gitaa mashuhuri Pepe Felix Manuaku kabla ya kuungana na Ben Nyamabo katika uanzishaji wa kundi zima la Choc Stars.