Defao : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 24:
 
==Maisha na muziki==
Amezaliwa huko mjini [[Kinshasa]] mnamo tarehe [[31 Desemba]] [[1958]] na jina la Matumona Defao Lulendo. Alianza kazi ya muziki mnamo mwaka wa 1976, awali akiwa na Orchestre Suka Movema, halafu baadaye Fogo Stars ikafuatiwa na Korotoro na mwaka wa 1978 Somo West. Mwaka wa 1981 alijiandikisha na kundi jipya kabisa la wakati huo Grand Zaiko Wawa na mpigaji gitaa mashuhuri Pepe Felix Manuaku kabla ya kuungana na Ben Nyamabo katika uanzishaji wa kundi zima la Choc Stars. Defao alikufa mnamo Desemba 27, 2021 katika hospitali ya Laquintinie huko Douala, akiwa na umri wa miaka 62, kutokana na Covid-19.
 
==Diskografia==
'''1985'''