Defao : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
KIFO
Mstari 18:
| Ala zinazojulikana =
}}
'''MatumonaFrancoise FrancoisLulendo Matumona''' (amezaliwa [[31 Desemba]], [[1958]] - [[27 Desemba]] [[2021]]) - pia anajulikana kama '''General Defao''' ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchi ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Defao Matumona, huonekana kama miongoni mwa waimbaji wa Kikongo wenye majina makubwa.
Kazi zake za muziki hasa huzifanyia hukohuko kwao Kongo. Alianza kuimba mwaka 1976 kwenye makundi madogomadogo, huko mjini [[Kinshasa]]. Waliomvutia kuingia katika muziki kwa kipindi hicho ni [[Papa Wemba]], [[Nyoka Longo]], [[Gina Efonge Evoloko]] na waimbaji wanne wa kundi la Zaiko la miaka ya sabiini. Lakini yule hasa aliyemvutia akiimba ni [[Tabu Ley Rochereau]].
Tangu mwaka 1991, amenzisha bendi yake mwenyewe, The Big Stars, kwa lengo la kuwa nyota wa Afrika. Alifanya hili kwa kuwa nchini mwao ukishindwa kutimiza jambo fulani watu wanakucheka na huona wivu wengine wakifanikiwa - ndiyo-maana anafanya juhudi kubwa ili tu apate mafanikio.
Mstari 118:
*[http://afroriginal.blogspot.com/2012/08/defao_1.html Makala juu ya {{PAGENAME}}] katika AfricOriginal
*[http://www.allmusic.com/artist/defao-mn0000984007/songs {{PAGENAME}}] katika AllMusic
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1958]]
{{BD|1958|2021}}
 
[[Jamii:Wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]
[[Jamii:Watu walio hai]]