Tovuti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Tovuti" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 1:
'''Tovuti''' ''([[Kiing.]] website)''<ref>Hivyo [[Kamusi ya Kiswahili sanifu]]4 na [[Kamusi ya Kompyuta]]</ref> ni mkusanyiko wa kurasa zilizoandikwa kwa lugha mbalimbali za [[tarakilishi]] kama vile [[HTML]], [[PHP]], [[XHTML]] na kadhalika na ambazo kwa pamoja hujumuika katika kutoa habari au maelezo kuhusu jambo fulani. Lugha hizi, yaani HTML, PHP, XHTML na kadhalika zinaweza tu kusomwa na kutafsiriwa na programu kama vile [[Internet Explorer]] [[Google Chrome]] na [[Mozilla Firefox]] kwa lugha ambayo inaweza kueleweka na binadamu. Wingi wake ni "tovuti" vile vile. Tovuti zote pamoja zinaitwa "[[mtandao]]" au "[[Intaneti]]" au "wavuti".
 
== Marejeo ==
{{Marejeo}}
 
== Viungo vya nje ==