DNA : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:DNA orbit animated small.gif|thumb|right|Mfano wa mfumo wa DNA.]]
'''DNA''' ni [[kifupisho]] cha '''[[w:Deoxyribonucleic acid|DeoxyriboNucleic Acid]]''' ambayo ni [[jina]] la [[Kiingereza]] la [[molekuli]] kubwa ndani ya [[seli]] za [[viumbehai]] wote. Kwa [[Kiswahili]] huitwa '''Asidi DeoksiriboNukleini''' ([[ADN]] kwa kifupi) au '''Asidi Kiinideoksiribo'''<ref>[[Kamusi Sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia]] iliyotolewa na [[TUKI]] inaandika "asidi kiinidioksiribo". Inapendekezwa kutumia -deoksi- badala ya -dioksi- kwa sababu [[kiambishi]] de- inamaanisha "bila" (bila oksijeni) ilhali di- inamaanisha "[[mbili]]".</ref> au vile vile huweza kuitwa '''kipimo cha kinasaba'''.
 
[[Wanyama]], [[mimea]], [[bakteria]] na [[virusi]] vilevile, wote wana DNA. Molekuli hii inabeba ndani yake habari zote za [[urithi]] wa kiumbehai husika, yaani habari za [[tabia]] zote zinazopokelewa kutoka kwa [[wazazi]]. Mwenye DNA zimo [[jeni]] zinazotunza habari maalumu juu ya urithi wa kiumbe.
 
Molekuli ya DNA ina [[umbo]] kama [[ngazi]] mbili za kupanda zilizounganishwa pamoja na kupindika kama [[sukurubu]]. Kila ngazi ni [[nukleotidi]] ambayo ni muungo wa [[sukari]] fulani pamoja na [[moja]] kati ya [[besi]] ogania [[nne]]. Ufutano wa besi hizo unaamua namna ya kutengeneza [[protini]] wakati wa kujenga seli mpya.