Kivinjari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Fixed typo
Tags: Reverted Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya Steven883 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
 
Mstari 1:
'''Kivinjari''' (kwa [[Kiingereza]]: ''browser'') ni [[programu]] ya [[tarakilishikompyuta]] inayowezesha kupata [[habari]] kupitia [[tovutiintaneti]]. Kila [[ukurasa]] wa tovutiintaneti, [[picha]] na [[video]], uliounganishwa na [[wavuti]] huwa na [[anwani]] inayoitwa Kioneshi Sanifu Rasilimali [[KISARA]] (''Uniform Resource Locator; [[kifupi]]: URL''). KISARA au /URL huwezesha vivinjari kutafuta na kupata [[maudhui]] haya kutoka kwa [[seva]] ya [[wavuti]] na kuyaonyesha kwenye tarakilishikompyuta ya mtumiaji.
 
Kivinjari cha wavuti si sawa na [[injini]] ya utafutaji, ingawa hizo mbili mara nyingi huchanganywa. Kwa mtumiaji, injini ya utafutaji ni wavuti tu, kama vile google.com, ambayo huhifadhi [[data]] inayotafutwa kuhusu wavuti nyinginezonyingine. Lakini ili kuunganishwa na seva ya wavuti na kuonyesha kurasa zake za wavuti, mtumiaji lazima awe na kivinjari cha wavuti kilichosanikishwa kwenye kifaa chake.
 
Kufikia [[Machi]] [[2019]], zaidi ya [[watu]] [[bilioni]] 4.3 hutumia kivinjari, ambacho ni karibu 55[[%]] ya [[idadi]] ya watu ulimwenguni.