Defao : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
KIFO
No edit summary
Mstari 18:
| Ala zinazojulikana =
}}
'''Francoise Lulendo Matumona''' (amezaliwaanajulikana kama '''General Defao'''; [[31 Desemba]], [[1958]] - [[27 Desemba]] [[2021]]) - pia anajulikana kama '''General Defao''' nialikuwa [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa [[Wimbo|nyimbo]] kutoka nchi ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Defao Matumona, huonekana kamaNi miongoni mwa waimbaji wa Kikongo wenye majina makubwa.
Kazi zake za muziki hasa huzifanyiaalizifanyia hukohuko kwao Kongo. Alianza kuimba mwaka 1976 kwenye makundi madogomadogo, huko mjini [[Kinshasa]]. Waliomvutia kuingia katika muziki kwa kipindi hicho ni [[Papa Wemba]], [[Nyoka Longo]], [[Gina Efonge Evoloko]] na waimbaji wanne wa kundi la Zaiko la miaka ya sabiini. Lakini yule hasa aliyemvutia akiimba ni [[Tabu Ley Rochereau]].
Tangu mwaka 1991, amenzisha bendi yake mwenyewe, The Big Stars, kwa lengo la kuwa nyota wa Afrika. Alifanya hili kwa kuwa nchini mwao ukishindwa kutimiza jambo fulani watu wanakucheka na huona wivu wengine wakifanikiwa - ndiyo-maana anafanya juhudi kubwa ili tu apate mafanikio.
 
Hayo yametokea kwa sababu asilimia kubwa wanamuziki wa Kongo hawana subira. Wanataka kila kitu harakaharaka. Sasa hivi katika umri wake miaka hamsini, Defao anachukulia mambo kadiri yanavyokuja na si kwa pupa tena. Anajua ya kwamba, kwake, kibao kitamgeukia. Defao alikufa mnamo Desemba 27, 2021 katika hospitali ya Laquintinie huko Douala, akiwa na umri wa miaka 62, kutokana na Covid-19.
 
==Maisha na muziki==
Amezaliwa huko mjini [[Kinshasa]] mnamo tarehe [[31 Desemba]] [[1958]] na jina la Matumona Defao Lulendo. Alianza kazi ya muziki mnamo mwaka wa 1976, awali akiwa na Orchestre Suka Movema, halafu baadaye Fogo Stars ikafuatiwa na Korotoro na mwaka wa 1978 Somo West. Mwaka wa 1981 alijiandikisha na kundi jipya kabisa la wakati huo Grand Zaiko Wawa na mpigaji gitaa mashuhuri Pepe Felix Manuaku kabla ya kuungana na Ben Nyamabo katika uanzishaji wa kundi zima la Choc Stars. Defao alikufaalifariki mnamo Desemba 27, 2021 katika hospitali ya Laquintinie huko Douala, akiwa na umri wa miaka 62, kutokana na Covid-19.
 
==Diskografia==
Line 115 ⟶ 117:
'''2012'''
*Defao dans Undertaker
 
==Viungo vya Nje==
*[http://afroriginal.blogspot.com/2012/08/defao_1.html Makala juu ya {{PAGENAME}}] katika AfricOriginal
*[http://www.allmusic.com/artist/defao-mn0000984007/songs {{PAGENAME}}] katika AllMusic
 
{{BD|1958|2021}}
 
[[Jamii:Wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]