Theluji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
[[Picha:SnowflakesWilsonBentley.jpg|thumb|left|Maumbile ya fuweli za theluji]]
[[Picha:Verschneite_Landschaft.jpg|Nchi iliyofunikwa na theluji|thumb]]
[[Picha:Another View to lake Iso-Vietonen from Liinankivaara Mountainside.jpg|Mazingira ya theluji huko Lapland, sehemu ya kaskazini ya [[Ufini]]|thumb]]
[[Picha:Schnee_und_Pflanzen.jpg|Mimea inayotokea wakati wa theluji kuyeyuka|thumb]]
'''Theluji''' (kutoka [[Kiarabu]] '''ثلج''', ''thalj'') ni aina ya pekee ya [[barafu]] ya [[maji]]. Inapatikana kama [[usimbishaji]] unaotelemka kwa [[maumbile]] ya barafu ya fuwelia. [[Fuwele]] za theluji ni ndogo; muundo wa fuwele unaonekana kwa [[macho]] matupu kama fuwele ni kubwa. Vipande vyake ni vyembamba sana, hivyo theluji hutelemka nyepesi si kama vipande vizito vya [[mvua ya mawe]].