Mto Godavari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 2 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.5
Mstari 28:
Mto huo umeheshimiwa katika [[Uhindu|maandiko ya Kihindu]] kwa [[milenia]] nyingi na unaendelea kutazamwa kama "mto mtakatifu" na [[Wahindu]] wengi wanaofika huko kusali.
 
Katika miongo iliyopita, mto huo umezuiwa na [[idadi]] ya [[Bwawa|mabwawa]] na [[malambo]] yanayochelewesha mtiririko wake. [[Delta|Delta ya mto]] inalisha [[watu]] wengi, wako watu 729 / km <sup>2</sup> - ambayo ni karibu mara mbili kuliko [[wastani]] wa kitaifa, na [[msongamano]] huo mkubwa umeongeza hatari ya [[mafuriko]]. <ref>{{Cite web|url=http://www.igbp.net/download/18.62dc35801456272b46d4b/1398850074082/NL82-Deltas_infographic.pdf|title=Deltas at Risk|publisher=International Geosphere-Biosphere Programme|accessdate=21 May 2019}}</ref> <ref>{{Cite web|url=http://www.indiaenvironmentportal.org.in/files/file/Shrinking_and_sinking_delta_major_role_of_Dams_May_2014.pdf|author=South Asia Network on Dams Rivers and People|title=Shrinking and Sinking Deltas: Major role of Dams in delta subsidence and effective sea level rise|year=2014|accessdate=15 January 2016|archivedate=2020-09-29|archiveurl=https://web.archive.org/web/20200929152500/http://www.indiaenvironmentportal.org.in/files/file/Shrinking_and_sinking_delta_major_role_of_Dams_May_2014.pdf}}</ref>
 
== Tawimito ==