Mzungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:LA2-Blitz-0263Cauc.JPG|thumb|350px|'''Wote Wazungu?''' <br>(kutoka kamusi ya Kijerumani ya 1932 "Watu wenye sifa za mbari ya Kiulaya" ]]
[[image:Waingereza_Weusi.PNG|thumb|350px|'''Wote Watu wa Ulaya lakini si wazungu! '''(Waingereza wazawa mbunge Diane Abbott, mwigizaji wa filamu Adewale Akinnuoye-Agbaje, waziri Paul Boateng, modeli Naomi Campbell, mwimbaji Craig David)]]
 
'''Mzungu''' ni neno la Waswahili kumtaja mtu anayeonekana ametoka [[Ulaya]].
 
Line 10 ⟶ 13:
Kiasili neno lilijitokeza wakati ambako watu waliweza kuamini ya kwamba kila sehemu ya dunia ilikuwa na rangi yake. Kwa namna hiyo inafanana na maneno katika lugha nyingine kwa mfano "negroe/negre/Neger" katika lugha za Ulaya kwa watu wanaoonekana kama wenye asili ya Kiafrika.
 
==AsiliKizungu yakwa nenolugha==
Neno la "kizungu" latumiwa mara nyingi kwa lugha ya [[Kiingereza]]. Wakati wa ukoloni wa Ujerumani katika Tanzania bara ("[[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]]") lilitaja pia [[Kijerumani]].
Asili ya neno haijulikani. Wengine wanahisi ya kwamba kuna uhusiano na kitenzi "kuzunguka" na "mzungu" ilitaka kutaja tabia ya wapelelezi, wamisionari na wafanyabiashara kutoka Ulaya ambao hawakukaa mahali pamoja bali kuzungukazunguka kote Afrika.
 
==Asili ya neno==
Waswahili waliwahi kutumia neno "mzungu" kwa akili na pia kwa mafundisho ya [[unyago]]. Lakini haieleweki kama kuna uhusiano na maana hizi.
Asili ya neno haijulikani. Wengine wanahisi ya kwamba kuna uhusiano na kitenzi "kuzunguka" na "mzungu" ilitaka kutaja tabia ya wapelelezi, wamisionari na wafanyabiashara wa kwanza kutoka Ulaya ambao hawakukaa mahali pamoja bali kuzungukazunguka kote Afrika.
 
Waswahili waliwahi kutumia neno "mzungu" kwa akili na pia kwa mafundisho ya [[unyago]]<ref>kamusi ya Velten, Suaheli Wörterbuch, Suaheli-Deutsch, Berlin 1910, "Mzungu II"</ref>. Lakini haieleweki kama kuna uhusiano na maana hizi.
 
==Marejeo==
<references/>
[[Category:Fasihi]]
[[Category:Watu]]