Mzungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 11:
Ikitumiwa kwa maana "watu wa Ulaya" inaeleweka kwa jumla isipokuwa siku hizi nchi za Ulaya hujaa watu ambao wenyewe au mababu walihamia hapa kutoka pande nyingi za dunia jinsi inavyoonekana kwenye nyuso yao.
 
==Neno la kutaja sifa ya mbari pamoja na jiografia==
Kiasili neno lilijitokeza wakati ambako watu waliweza kuamini ya kwamba kila sehemu ya dunia ilikuwa na rangi yake. Kwa namna hiyo inafanana na maneno katika lugha nyingine kwa mfano "negroe/negre/Neger" katika lugha za Ulaya kwa watu wanaoonekana kama wenye asili ya Kiafrika. Haina udharau ndani yake kama neno la Kiarabu "abdi" linalotaja watu weusi pamoja na watumwa.
 
==Kizungu kwa lugha==