Kanisa kuu la Santiago de Compostela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Catedral de Santiago de Compostela agosto 2018 (cropped).jpg|350px|thumb]]
 
 
'''Kanisa kuu la Santiago de Compostela''' ni kanisa Mashuhuri huko [[Galicia (Spain)|Galicia]] nchini [[Hispania]]. Umaarufu wake unatokana na imani kwamba hapa liko kaburi la [[Yakobo Mkubwa|Mtakatifu Yakobo Mkubwa]] aliyekuwa mdogo wa Yesu na mmoja wa <a href="./Mitume" rel="mw:WikiLink" data-linkid="undefined" data-cx="{&amp;quot;userAdded&amp;quot;:true,&amp;quot;adapted&amp;quot;:true}">mitume</a> wake.
 
Mahali palianza kutambuliwa kama kaburi la mtume mnamo mwaka 814 na mwaka 829 kanisa la kwanza lilijengwa hapa. Mnamo mwaka 997 kanisa liliharibiwa katika mashambulio ya jeshi la Kiarabu na baada ya kuwafukuza Waarabu katika sehemu hiyo ya Hispania, kanisa lilijengwa upya katoa miaka ya 1075 hadi 1211. Jengo hilo liliendele kuwa shabaha ya wahiji Wakristo kutoka pande zote za Ulaya.