Utoto wa Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 7:
* alivyozaliwa [[usiku]] katika [[zizi]] karibu na [[kijiji]] cha [[Bethlehemu]]
* [[tohara|alivyotahiriwa]] [[siku]] ya nane
* [[Yesu kutolewa hekaluni|alivyotolewa]] kwa [[Mungu]] katika [[hekalu la Yerusalemu]] siku [[arubaini]] baadaye
* [[Epifania|alivyotembelewa na kuzawadiwa]] na [[Mamajusi]] kutoka [[mashariki]]
* alivyosalimishwa [[Misri]] ili asiuawe na [[mfalme]] [[Herode Mkuu]]
* [[kurudi Nazareti|alivyorudishwa nchini]] na kulelewa katika kijiji cha [[Nazareti]] ya [[Galilaya]]
* [[hija|alivyohiji]] [[Yerusalemu]] kwa [[Pasaka]] alipokuwa na umri wa miaka 12 na [[Mtoto Yesu kupatikana hekaluni|kupatikana tena siku ya tatu]]