Mzungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
Ni neno ambalo zaidi linalenga rangi ya mtu na kumtofautisha yule anayetajwa na Mwafrika, Mwarabu, Mhindi au Mchina.
 
Si neno kamili sana kwa sababu watu wanaoitwa Wazungu wanaweza kutokea kila sehemu ya dunia; Wamarekani weupe huitwa wazungu na pia makaburu kutoka [[Afrika Kusini]], kamaWakenya weupa na pia Waaustralia. Vilevile mtu kutoka nchi za [[Ulaya ya Kusini]] kama [[Hispania]] au [[Ugiriki]] anaweza kusababisha wasiwasi kama yeye ni mzungu au mwarabu kwa sababu wengi wao hufanana na watu wa [[Afrika ya Kaskazini]].
 
Ikitumiwa kwa maana "watu wa Ulaya" inaeleweka kwa jumla isipokuwa siku hizi nchi za Ulaya hujaa watu ambao wenyewe au mababu walihamia hapa kutoka pande nyingi za dunia jinsi inavyoonekana kwenye nyuso yao.