Tofauti kati ya marekesbisho "Swala"

8 bytes removed ,  miezi 4 iliyopita
Sahihisho
No edit summary
(Sahihisho)
}}
 
'''Swala''' ni [[mnyama|wanyama]] walao [[nyasi|manyasi]] katika [[nusufamilia]] [[Antilopinae]], [[Aepycerotinae]] na [[Pantholopinae]] za [[familia (biolojia)|familia]] [[Bovidae]]. Hupatikana katika maeneo yenye nyasi fupi fupi na vichaka vifupi fupi hasa kwenye maeneo mengi ya hifadhi katika Afrika. [[Spishi]] nyingine hukimbia kilometa 80 kwa saa na zina uwezo wa kuruka mita 7 hadi 8 juu akiwa kwenye kasi. Rangi yao ni ya mchanga na nyeupe kidogo kwenye koromeo na sehemu ya chini ya mkia. Maadui yao wakubwa ni [[simba]], [[chatu]] na [[chui]].
 
==Spishi==
11,268

edits