Mzungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20:
Asili ya neno haijulikani. Wengine wanahisi ya kwamba kuna uhusiano na kitenzi "kuzunguka" na "mzungu" ilitaka kutaja tabia ya wapelelezi, wamisionari na wafanyabiashara wa kwanza kutoka Ulaya ambao hawakukaa mahali pamoja bali kuzungukazunguka kote Afrika.
 
Waswahili waliwahi kutumia neno "mzungu" kwa "akili" na pia kwa mafundisho ya "[[unyago]]"<ref>kamusi ya Velten, Suaheli Wörterbuch, Suaheli-Deutsch, Berlin 1910, "Mzungu II"</ref>. Lakini haieleweki kama kuna uhusiano na maana hizi.
 
==Marejeo==