Kanuni ya Imani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.5
Mstari 7:
 
==Katika Ukristo==
Katika [[Ukristo]] ni maarufu hasa [[Kanuni ya Imani ya Nisea Konstantinopoli]], iliyotungwa mwaka [[325]] katika [[Mtaguso wa kwanza wa Nisea]] na kukamilishwa mwaka [[381]] katika [[Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli]]. Ndiyo ya kwanza katika ya [[Mitaguso ya kiekumene]]. Msingi wa fomula hiyo ni [[Agano Jipya]] lilivyoeleweka kwa kawaida na ma[[askofu]] wa [[Kanisa]] wa [[karne ya 4]], ambayo ni muhimu sana katika [[ufafanuzi]] wa [[imani]] uliofanywa na ma[[babu wa Kanisa]]. Karibu [[madhehebu]] yote ya Ukristo yanakubali hadi leo kanuni hiyo.<ref>[http://www.spurgeon.org/~phil/creeds/nicene.htm Johnson, Phillip R. "The Nicene Creed."] {{Wayback|url=http://www.spurgeon.org/~phil/creeds/nicene.htm |date=20090314061400 }} Accessed 17 May 2009</ref>
 
Pamoja nayo inakubalika sana [[Kanuni ya Imani ya Mitume]] iliyotokea [[Roma]] katika maadhimisho ya [[liturujia]], hasa [[ubatizo]].