Ziwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:lake tanganyika.jpg|thumb|250px|[[Ziwa Tanganyika]] ni kati ya maziwa makubwa ya dunia (picha kutoka angani ya 1985]][[Picha:Bariloche-_Argentina2.jpg|thumb|250px|Ziwa katika Bariloche ([[Argentina]])]]
[[Picha:Lac d'arvoin.JPG|thumb|250px|Ziwa dogo milimani ya [[Ufaransa]]]]
[[Picha:Seututie 325 Pelisalmi 2.jpg|thumb|250px|[[Ufini]] inajulikana kama "Nchi ya Maziwa Maelfu".<ref>{{cite web|last=Li|first=Leslie|date=1989-04-16|title=A Land of a Thousand Lakes|url=https://www.nytimes.com/1989/04/16/travel/a-land-of-a-thousand-lakes.html|access-date=2021-12-29|work=[[The New York Times]]|language=en}}</ref>]]
 
[[Picha:lake tanganyika.jpg|thumb|250px|[[Ziwa Tanganyika]] ni kati ya maziwa makubwa ya dunia (picha kutoka angani ya 1985]]
'''Ziwa''' ni gimba kubwa la maji linalozungukwa na nchi kavu pande zote. Tofauti na [[bahari]] ni ukubwa na kutobadilishana maji na bahari kuu. Lakini maziwa kadhaa yamepewa pia jina la "bahari" hasa kama yana maji ya chumvi au kama watu wa eneo lake hawajui magimba makubwa zaidi ya maji. Mfano wake ni [[Bahari Kaspi]] katika [[Asia]] ambayo ni kubwa sana lakini hali halisi ni ziwa lenye maji ya chumvi.
 
Mstari 13:
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
{{mbegu-jio}}
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:Maziwa| ]]