Utoto wa Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 5:
==Katika Agano Jipya==
[[Injili]] [[nne]] zilizomo katika [[Agano Jipya]] zina habari chache juu yake katika miaka hiyo. Sanasana ni zile za [[Math|Mathayo]] na [[Lk|Luka]] ambazo kila mojawapo ina [[sura]] [[mbili]] za kwanza kuhusu Yesu kuzaliwa na kuanza kukua:
* [[Krismasi|alivyozaliwa]] [[usiku]] katika [[zizi]] karibu na [[kijiji]] cha [[Bethlehemu]]
* [[tohara|alivyotahiriwa]] [[siku]] ya nane
* [[Yesu kutolewa hekaluni|alivyotolewa]] kwa [[Mungu]] katika [[hekalu la Yerusalemu]] siku [[arubaini]] baadaye