Mzungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 18:
 
==Asili ya neno==
Asili ya neno haijulikani kikamilifu.
Asili ya neno haijulikani. Wengine wanahisi ya kwamba kuna uhusiano na kitenzi "kuzunguka" na "mzungu" ilitaka kutaja tabia ya wapelelezi, wamisionari na wafanyabiashara wa kwanza kutoka Ulaya ambao hawakukaa mahali pamoja bali kuzungukazunguka kote Afrika.
 
Inaonekana kuna uhusiano na neno mzungu / mizungu lisilo kawaida tena katika Kiswahili cha kisasa. Lilimaanisha mambo mbalimbali kama vile 1) kitu cha ajabu au cha kushangaza, 2) mbinu wa kujiondoa katika tatizo, 3) aina ya [[muhogo]], 4) silika au akili ya wanyama.<ref>kamusi ya [[M-J SSE]] "Mzungu (B)"</ref> Waswahili waliwahi kutumia neno "mzungu" kwa "akili" na pia kwa mafundisho ya "[[unyago]]" yaliyoitwa "kufundishwa mizungu". <ref>kamusi ya Velten, Suaheli Wörterbuch, Suaheli-Deutsch, Berlin 1910, "Mzungu II"</ref>. Lakini haieleweki kama kuna uhusiano na maana hizi.
 
AsiliWengine yawamehisi neno haijulikani. Wenginekwa wanahisiutani ya kwamba kuna uhusiano na kitenzi "kuzunguka" na "mzungu" ilitaka kutaja tabia ya wapelelezi, wamisionari na wafanyabiashara wa kwanza kutoka Ulaya ambao hawakukaa mahali pamoja bali kuzungukazunguka kote Afrika.
 
==Marejeo==