Schutzstaffel - SS : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Schutzstaffel hadi Schutzstaffel - SS
No edit summary
Mstari 3:
 
== Kuundwa kwa SS ==
SS iliundwa kama kitengo cha wanamigambo wa NSDAP waliojulikana kama [[SA]]. Awali kazi ya wanamigambo 8 walioteuliwa ilikuwa kumlinda kiongozi wa chama Adolf Hitler kwenye maandamano na mikutano ya chama. Tangu 1929 iliongozwa na [[Heinrich Himmler]]. Wakati ule kikosi kilikuwa na wanachama 280. Himmler aliendelea kupanusha kikosi. Hadi mwisho wa 1929 alikuwa wanamigambowanamgambo 1,000 chini yake waliongezeka kuwa 52,000 mwaka 1932.
 
Baada ya Hitler kuwa [[chansela]] wa Ujerumani 1933 kikosi kilikua kuwa na watu 204,000.
 
[[Picha:Himmler ziereis kaltenbrunner 1941.jpg|thumb|300px|Heinrich Himmler pamoja na viongozi wengine wa SS]]
== Mapigano ndani ya NSDAP na SS kuwa kitengo cha pekee ==
Mwaka 1934 Hitler aliamua kuwaondoa viongozi wa wanamigambo wa SA waliokuwa na mawazo yao ya pekee kuhusu maendeleo ya utawala wa Kinazi katika Ujerumani. Hitler alitumia SS kwa kazi hii. Tar. 30 Juni na 1 Julai 1934 vikundi vya SS walikamata na kuua viongozi wengi wa SA.