Yugoslavia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 6:
 
== Vita Kuu ya Pili ya Dunia ==
Wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] Yugoslavia ilivamiwa na jeshi la [[Ujerumani]]. Wapinzani mbalimbali walichukua silaha kupinga wavamizi. Kati ya vikundi hivi wanamigambowanamgambo [[Ukomunisti|Wakomunisti]] chini ya [[Josip Broz Tito]] wakafaulu kuliko jeshi la msituni wa mfalme. Baada ya mwisho wa vita [[1945]] kundi la Tito lilichukua utawala.
[[Picha:Flag of Yugoslavia (1946–1992).svg|thumb|Bendera ya Yugoslavia tangu 1946]]
== Shirikisho la Jamhuri ya Watu wa Yugoslavia ==