Jamhuri ya Texas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 2:
'''Jamhuri ya Texas''' ilikuwa sehemu ya [[Mexiko]] iliyojitenga [[mwaka]] [[1836]] na kuendelea kama nchi ya kujitegemea hadi mwaka [[1845]] ilipotekwa na [[Marekani]] na kuwa [[Orodha ya majimbo ya Marekani|jimbo]] la [[Texas]] ndani ya [[Maungano ya Madola ya Amerika]] (USA).
 
Chanzo cha harakati ya kujitenga ilikuwakilikuwa [[idadi]] ya [[walowezi]] kutoka Marekani waliopewa ardhi na [[serikali]] ya Mexiko katika miaka ya awali lakini baadaye hawakuwa tayari tena kukubali [[mamlaka]] ya Mexiko. Sababu mojawapo ilikuwa [[sheria]] ya Mexiko iliyowapa [[Utumwa|watumwa]] wote [[uhuru]] ilhali walowezi kutoka Marekani walianzisha [[shamba|mashamba]] wakiingiza watumwa weusiWeusi kama [[wafanyakazi]]. Lakini uasi wa walowezi wa Texas ilianzaulianza wakati serikali ya Mexiko ilichukuliwa na [[jenerali]] Santa Anna aliyejitangaza kuwa [[dikteta]] na kufuzakufuta mamlaka ya serikali za kieneo. Mapigano yalianza wakati [[jeshi]] alla Mexiko ilijaribulilijaribu kukusanya [[silaha]] za wanamigambowanamgambo wa Texas na hapo [[vita]] ilianza.
 
Katika mapigano ya kijeshi migambowanamgambo yawa Texas ilishindawalishinda jeshi la Mexiko na jenerali [[Santa Anna]] alipaswa kukubali uhuru wa Texas hata kama baadaye [[bunge]] la Mexiko ilikataa kukubalililikataa.
 
Hali halisi Texas ilikuwa nchi ya kujitegemea lakini dhaifu na idadi kubwa ya [[raia]] walipendelea kujiunga na Marekani. Mwaka 1845 [[rais]] wa Marekani [[James K. Polk]] aliamua utekaji wakuteka texasTexas na kuifanya sehemu ya Marekani. Baadaye bunge la Marekani lilikubali Texas kuwa jimbo la kujitawala wa Maungano ya Madola ya Amerika.
 
Utekaji wa Texas ulikuwa chanzo cha [[vita ya Marekani na Mexiko]] ya 1846-[[1848]] ambako Mexiko ilishindwa.
[[Jamii:Nchi za Kihistoriakihistoria za Amerika]]
[[jamii:Historia ya Marekani]]
[[jamii:Historia ya Mexiko]]