Schutzstaffel - SS : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
 
== Kuundwa kwa SS ==
SS iliundwa kama kitengo cha wanamigambowanamgambo wa NSDAP waliojulikana kama [[SA]]. Awali kazi ya wanamigambowanamgambo 8 walioteuliwa ilikuwa kumlinda kiongozi wa chama Adolf Hitler kwenye maandamano na mikutano ya chama. Tangu 1929 iliongozwa na [[Heinrich Himmler]]. Wakati ule kikosi kilikuwa na wanachama 280. Himmler aliendelea kupanushakupanua kikosi. Hadi mwisho wa 1929 alikuwa wanamgambo 1,000 chini yake waliongezeka kuwa 52,000 mwaka 1932.
 
Baada ya Hitler kuwa [[chansela]] wa Ujerumani 1933 kikosi kilikua kuwa na watu 204,000.
 
== Mapigano ndani ya NSDAP na SS kuwa kitengo cha pekee ==