Schutzstaffel - SS : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
Mstari 24:
Idadi kubwa ya wana-SS bado walikuwa na kazi za kawaida lakini kadi ya SS ilikuwa kiingilio katika vyeo vya juu serikalini. Vilevile idadi ya kazi za kulipwa ndani ya kikosi ikaongezeka.
 
Sehemu kubwa ya kazi ya SS ilikuwa kusambaza itikadi ya "mbari safi" ya Kiarya. Himmler aliota ndoto ya kuongeza idadi ya watu wenye mbari safi hadi kuwafuga hata akachukua hatua za kwanza za kuteua vijana waliolingana na imani zake za kimbari na kuwapa nafasi ya kuzaa hata pasipo na ndoa. Kuna watoto maelfu kadhaa waliozaliwa katika nyumba za pekee na kulelewa kama watoto wa SS ama katika nyumba hizi au katika familia zilizoteuliwa. Nje ya Ujerumani alitafuta hasa vijana wa [[Norwei]] kwa sababu walilingana na itikadi yake ya [[mbari waya Kiarya[[Waarya]].
 
== SS na Polisi ==