Mishipa ya damu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuweka tempelate
 
Mstari 1:
[[Picha:KapilariIllu capillary sw.jpg|thumb|300px|Kapilari kati ya ateri na vena ni mahali ambako oksijeni inatoka katika damu kwenda seli na gesi au mata chafu nyingine inapokelewa kwa safari kwenda ogani za kusafishia.]]
'''Mishipa ya damu''' ([[ing.]] ''blood vessels'') ni mabomba ndani ya mwili ambamo [[damu]] inasafirishwa pande zote za mwili. Pamoja na [[moyo]] inaunda [[mfumo wa mzunguko wa damu]] mwilini.