Mkoa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Mkoa''' ni jina kwa ajili ya eneo fulani ndani ya nchi ambalo ni ngazi ya utawala wa nchi ile.
 
Matumizi ya [[jina]] hilihilo linawezayanaweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi. Kwa kutafsiri vitengo vya utawala vya nchi mbalimbali wakati mwingine kuna mchaganyikomchanganyiko wa maneno "mkoa", "[[wilaya]]" na "[[jimbo]]" hasa kwa sababu kawaida ya matumizi ya maneno yanayolingana kwa ya [[Kiingereza]] "region", "district" na "province" hayafuati mara kwakila mara utaratibu maalumu.
 
===Mikoa ya Tanzania na Kenya===