Kanda ya Kaskazini, Malawi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 7:
Kati ya [[Districts of Malawi|wilaya]] 28 nchini Malawi, sita ziko ndani ya Mkoa wa Kaskazini.
 
*[[Wilaya ya Chitipa|Chitipa]]
*[[Wilaya ya Karonga|Karonga]]
*[[Wilaya ya Likoma|Likoma]]
*[[Wilaya ya Mzimba|Mzimba]]
*[[Wilaya ya Nkhata Bay|Nkhata Bay]]
*[[Wilaya ya Rumphi|Rumphi]]
 
Mbali na sehemu za Malawi bara, Mkoa wa Kaskazini pia unajumuisha visiwa vya Chizumulu na Likoma katika [[Nyasa (ziwa)|Ziwa Nyasa]], ambavyo kwa pamoja vinaunda Wilaya ya Likoma .