Wanzilishaji wa akaunti, Warasimu, Watumiaji waliothibitishwa, Interface administrators, IP block exemptions, Wakabidhi
49,121
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
[[Picha:
[[Picha:Nkhotakota, Malawi1.jpg|thumb|350px|Nkhotakota]]
'''Nkhotakota''' (zamani '''Kota Kota''' ) (jina linalotokana na lugha ya [[Chichewa]] kwa ajili ya "kona kona") ni mji na makao makuu ya [[Wilaya ya Nkhotakota]] katika [[Kanda ya Kati, Malawi]]. Kufikia 2018, Nkhotakota ilikuwa na idadi ya wakazi waliokadiriwa kuwa 28,350.
== Historia ==
Katika karne ya 19 Nkhotakota ilikuwa kundi la vijiji vilivyotumika kama soko la wafanyabiashara wa watumwa. Waafrika mbalimbali walikutana hapa na Waswahili kutoka mwambao wa Bahari Hindi na Waarabu.<ref
Misionari [[David Livingstone]] alitembelea mji mara mbili kwenye miaka 1861 na 1864 na kuleta taarifa juu ya ubaya wa biashara ya watumwa hadi Ulaya. Kuna miti miwili inayokumbukwa kama "Livingstone tree" ambako anasemekana alijadiliana na na mkuu wa Waarabu Salim bin Abdullah <ref name="Murphy197">{{Cite book|title=Lonely Planet Southern Africa: Join the Safari|last=Murphy|first=Alan|last2=Armstrong, Kate|last3=Firestone, Matthew D.|last4=Fitzpatrick, Mary|date=2007|publisher=[[Lonely Planet]]|isbn=1-74059-745-1|page=197}}</ref> Baadaye rais wa Malawi [[Hastings Banda]] alitoa hotuba chini ya mti mwingine huko Nkhotakota katika miaka ya 1960, huu unaojulikana kama Mti wa Livingstone. <ref name="Murphy197" /> Mji huu ulikumbwa na mafuriko ya 2001, na ulikuwa eneo lililoathiriwa zaidi katika eneo la Kati la Malawi. <ref name="AllAfrica Rain">{{Cite web|url=http://allafrica.com/stories/200103210071.html|title=More Rains, Renewed Problems|date=21 March 2001|accessdate=1 July 2008|work=[[AllAfrica]]}}</ref> Leo, Nkhotakota ndio mji mkubwa wa kitamaduni wa Kiafrika nchini Malawi <ref name="Britannica" /> na una ushawishi mkubwa wa Waswahili-Waarabu. <ref>Murphy, p. 159.</ref>
== Jiografia ==
Nkhotakota iko kwenye mwinuko wa mita 472 kwenye mwambao wa Ziwa Malawi. <ref name="Britannica">{{Cite web|url=http://www.britannica.com/eb/article-9055985|title=Nkhotakota|accessdate=27 June 2008|work=[[Encyclopædia Britannica]]|date=2008}}<cite class="citation web cs1" data-ve-ignore="true">[http://www.britannica.com/eb/article-9055985 "Nkhotakota"]. </cite></ref> Iko kwenye ukingo wa miamba unaotazamana bandari ya asili iliyoundwa na kisiwa cha mchanga . <ref name="Britannica" />
== Usafiri ==
Nkhotakota ni mojawapo ya
== Marejeo ==
|