Tofauti kati ya marekesbisho "Nondo (mdudu)"

1 byte removed ,  miezi 4 iliyopita
Sahihisho
(Sahihisho)
(Sahihisho)
 
 
==Utangulizi==
Kama ilivyo kwa vipepeo mzunguko wa maisha wa nondo huwa na sehemuhatua nne: [[yai]], [[kiwavi]] ([[lava]]), [[bundo]] na [[mdumili]] ([[w:imago|imago]]). Takriban spishi zote huruka wakati wa usiku lakini nyingine huruka jioni na spishi kadhaa wakati wa mchana. [[Bawa|Mabawa]] yakiwa yamefungwa rangi za nondo ni kahawia na/au kijivu hasa na mara nyingi wana rangi za [[kamufleji|kamafleji]]. Lakini wakifungua mabawa yale ya nyuma yana rangi kali mara nyingi au mabaka yanayofanana na [[jicho|macho]]. Hii inashtua mbuai wao kama [[ndege]] na [[mjusi|mijusi]].
 
Takriban wadumili wote wa nondo hawali, lakina kadhaa hula [[mbochi]]. Viwavi vya spishi nyingi vinakula [[mmea|mimea]] ya mazao. Kwa kawaida wakulima hutumia [[Dawa ya Kikemikali|dawa za kikemikali]] kuua viwavi hivi. Lakini siku hizi vimekuwa sugu dhidi ya dawa hizi. Kwa hivyo ni bora kutumia [[dawa za kibiolojia]], kama [[Bacillus thuringiensis|''Bt'']] au virusi au [[Kuvu Kiuawadudu|kuvu viuawadudu]].
11,268

edits