Wangoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 4:
[[Lugha]] yao ni [[Kingoni]].
 
Asili yao ni [[Wazulu]] walioenea kutoka [[Afrika Kusini]] kufuatia mapigano katiya Makabulu na wwazulu huko Afrika ya KuinKusini [[karne ya 19]].
 
Wangoni wamelaumiwa sana kwa kujificha kuonesha maarifa yao hasa katika [[sanaa]] ya [[muziki]] na [[maigizo]] Pia katika maswla ya elimu na biashara wao sio washiriki wakubwa, mwamko ni mdogo. Ikumbukwe kuwa Wangoni waliowahi kuvuma katika muziki na maigizo ambao wamekulia [[Songea]] ni Bambo na marehemu [[kapteni Komba]]. Lakini katika [[utafiti]] uliofanywa na watu inaonekana kuwa Wangoni ni maarufu sana katika kuimba katika sherehe na maombolezo; wana nyimbo nyingi za maombolezo na za [[sherehe]]. Pia katika sanaa ya muziki hupenda kujitokeza kama kundi: fuatilia [[ngoma]] zao kama Mganda na Kihoda, lizombe, beta nk.