Wangoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
[[picha:WanGoni.jpg|thumbnail|right|200px|Ngoma ya asili ya Wangoni - Lizombe nchini Tanzania]]
'''Wangoni''' ni [[kabila]] la [[watu]] wa [[Kusini mwa Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa Ruvuma]], hasa upande wa [[Kusinikusini]] wa [[Songea]]. Pia kihistoria yapo makundi ya wangoni walioingiayaliyoingia upande wa magharibi mwa Tanzania. Pia wako [[Msumbiji]].
 
[[Lugha]] yao ni [[Kingoni]].
 
[[Asili]] yao ni [[Wazulu]] walioenea kutoka [[Afrika Kusini]] kufuatia mapigano katiyakati ya Makabulu[[Makaburu]] na wwazuluWazulu huko Afrika ya Kusini [[karne ya 19]].
 
Pengine Wangoni wamelaumiwa sana kwa kujificha kuonesha maarifa yao hasa katika [[sanaa]] ya [[muziki]] na [[maigizo]]. Pia katika maswlamasuala ya elimu na biashara wao siosi washiriki wakubwa, mwamko ni mdogo. Ikumbukwe kuwa Wangoni waliowahi kuvuma katika muziki na maigizo ambao wamekulia [[Songea]] ni [[Bambo]] na marehemu [[kapteni Komba]]. Lakini katika [[utafiti]] uliofanywa na watu inaonekana kuwa Wangoni ni maarufu sana katika kuimba katika [[sherehe]] na [[maombolezo]]; wana [[Wimbo|nyimbo]] nyingi zakwa maombolezoajili na za [[sherehe]]hizo. Pia katika sanaa ya muziki hupenda kujitokeza kama [[kundi]]: fuatilia [[ngoma]] zao kama Mganda na Kihoda, lizombeLizombe, betaBeta nkn.k.
 
Wangoni wamekuwa wakipotea na kupoteza uhalisia wao kwa sababu ya kujitazama zaidi na kuona kuwa mambo ya muziki na sanaa, biashara na uchumi na elimu siosi ya hadhi yao, yaani kuna ile hali ya kujiona mkubwa kuliko jambo flanifulani, yaani mngoniMngoni kuuza ndizi ni kujidhalilisha au kucheza mzikimuziki ni jambo ambalo siosi la heshima na linalokubalika katika jamii. Mfano ni katika kipindi cha miaka ya karibuni kumekuwa na [[wanawake]] wanaofanya biashara ndogondogo, asilimia kubwa ni wanaamini katika kilimo. Sababu nyingine ni kukaa kwa hujichanganyakujichanganya mapema na [[tamaduni]] za makabila mbalimbali mahalia. Kwa mfano leo kuna Wangoni Wamatengo, Wangoni Wanyasa, Wangoni Wampoto ..Jamno. hiliJambo hilo ni matokeo ya wangoniWangoni kutopenda kuonesha asili yao. Mfano lugha... ni kama kusema wangoniWangoni ni kabila lilioelewa sana somo la kutojali ukabila. Leo hii tunaweza kuwatambua Wangoni kwa majina yao tu ambayo mengi ni ya [[wanyama]] au [[viumbe hai]] kama Komba, Mbawala, Mapunda, Tembo, Nguruwe, Simba, n.k. na katika matukio ya kijamii lakini sio katika uhalisia wa maisha ya kila siku. Yote katika yote tuwakumbushe watu wasione aibu kujitokeza na kuwa na mchango wao katika sekta mbalimbali za kijamii, sanaa na michezo, biashara na uchumi, elimu na utamaduni.Ikumbukwe kuwa Kuwa na kabila ni sawa na kuwa hivyo ulivyo ... ni utambulisho maana siosi chaguo lako kuwa hivyo ulivyo wala kuzaliwa mume au mke, mfupi mnene mweupe mweusi nk ...hayo hatuchagui bali tunaishi humo kwa KUJIKUBALI na kutoa mchango wetu kwa kadiri tulivyobarikiwa vipaji na karama mbalimbali na Muumba. Angalizo: Kutokana na sifa ya ukubwa wa kabila la wangoni basi makabila yanayolizunguka kabila la wangoni nao wanajiita wangoni. Hivyo kuna hatari ya baadhi ya makabila madogomadoo kupoteza utambulisho.
{{Makabila ya Tanzania}}
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
{{DEFAULTSORT:Ngoni}}
 
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Ruvuma]]