Wangoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
 
Pengine Wangoni wamelaumiwa kwa kujificha kuonesha maarifa yao hasa katika [[sanaa]] ya [[muziki]] na [[maigizo]]. Pia katika masuala ya elimu na biashara wao si washiriki wakubwa, mwamko ni mdogo. Ikumbukwe kuwa Wangoni waliowahi kuvuma katika muziki na maigizo ambao wamekulia [[Songea]] ni [[Bambo]] na [[kapteni Komba]]. Lakini inaonekana kuwa Wangoni ni maarufu sana katika kuimba katika [[sherehe]] na [[maombolezo]]; wana [[Wimbo|nyimbo]] nyingi kwa ajili hizo. Pia katika sanaa ya muziki hupenda kujitokeza kama [[kundi]]: fuatilia [[ngoma]] zao kama Mganda na Kihoda, Lizombe, Beta n.k.
Wangoni wamekuwa wakipoteza uhalisia wao kwa sababu ya kulowea: wanakoenda kukaa hujichanganya mapema na [[tamaduni]] za makabila mbalimbali mahalia. Kwa mfano leo kuna Wangoni Wamatengo, Wangoni Wanyasa, Wangoni Wampoto... Jambo hilo ni matokeo ya Wangoni kutopenda kuonesha asili yao, Mfano lugha... ni kama kusema Wangoni ni kabila lilioelewa sana somo la kutojali ukabila. Leo hii tunaweza kuwatambua Wangoni kwa majina yao tu ambayo mengi ni ya [[wanyama]] au [[viumbe hai]] kama Komba, Mbawala, Mapunda, Tembo, Nguruwe, Simba, n.k. na katika matukio ya kijamii lakini sio katika uhalisia wa maisha ya kila siku.
 
WangoniPia wamekuwa wakipotea na kupoteza uhalisia wao kwa sababu yakuna kujitazama zaidi na kuona kuwa mambo ya muziki na sanaa, biashara na uchumi na elimu si ya hadhi yao, yaani kuna ile hali ya kujiona mkubwa kuliko jambo fulani, yaani Mngoni kuuza ndizi ni kujidhalilisha au kucheza muziki ni jambo ambalo si la heshima na linalokubalika katika jamii. Mfano ni katika kipindi cha miaka ya karibuni kumekuwa na [[wanawake]] wanaofanya biashara ndogondogo, asilimia kubwa wanaamini katika kilimo. Sababu nyingine ni kukaa kwa kujichanganya mapema na [[tamaduni]] za makabila mbalimbali mahalia. Kwa mfano leo kuna Wangoni Wamatengo, Wangoni Wanyasa, Wangoni Wampoto... Jambo hilo ni matokeo ya Wangoni kutopenda kuonesha asili yao. Mfano lugha... ni kama kusema Wangoni ni kabila lilioelewa sana somo la kutojali ukabila. Leo hii tunaweza kuwatambua Wangoni kwa majina yao tu ambayo mengi ni ya [[wanyama]] au [[viumbe hai]] kama Komba, Mbawala, Mapunda, Tembo, Nguruwe, Simba, n.k. na katika matukio ya kijamii lakini sio katika uhalisia wa maisha ya kila siku. Kuwa na kabila ni sawa na kuwa hivyo ulivyo... ni utambulisho maana si chaguo lako kuwa ulivyo. Kutokana na sifa ya ukubwa wa kabila la wangoni basi makabila yanayolizunguka kabila la wangoni nao wanajiita wangoni. Hivyo kuna hatari ya baadhi ya makabila madogomadoo kupoteza utambulisho.
 
Vilevile, k utokana na sifa ya ukubwa wa kabila la Wangoni, basi makabila yanayolizunguka nao wanajiita Wangoni. Hivyo kuna hatari ya baadhi ya makabila madogomadogo kupoteza utambulisho wao.
{{Makabila ya Tanzania}}
{{mbegu-utamaduni-TZ}}