Tofauti kati ya marekesbisho "Global Positioning System"

no edit summary
d (corr using AWB)
No edit summary
[[Picha:ConstellationGPS.gif|thumb|350px|Satelaiti za GPS zinazozunguka Dunia; rangi ya buluu inaonyesha kupatikana kwa satelaiti kwa kipokezi kwenye kaskazini y Dunia, rangi nyekundu inaonyesha satelaiti zinazopotea nyuma ya upeo ambako hazipokelewi tena na kipokezi]]
'''Global Positioning System''' ([[kifupi]]: '''GPS''', maana yake: '''Mfumo wa mwongozouongozaji kote duniani''') ni mfumo wa Marekani wa kupima na kutambua kwa makini kila mahali [[duniani]] ukitumia [[satelaiti]]. Ni [[mfumo wa uongozaji kwa satelaiti]] unaotumika zaidi duniani.
 
==Misingi==