Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Makala kwa ufutaji"

Tags: Reply Visual
:Nadhani hii ilibadilishwa kutoka makala halisi "Tanzania Tech" kuwa makala ya "Tech Platform" ambayo haitambuliki. Nadhani kuna haja ya kutoa nafasi kwa makala kuongezewa vyanzo ili kuendelea kuwepo kwani imekwepo tokea mwaka 2016. '''[[Mtumiaji:Amanijoseph87|Amanijoseph87]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Amanijoseph87|majadiliano]])''' 17:36, 13 Januari 2022 (UTC)
::Ndugu unaongeza wasiwasi. Makala haikuwepo tangu 2016 jinsi unavyosema; wewe ulianzisha 08:01, 2 Juni 2019. Ila matini inasema tovuti ilianzishwa 2020. Halafu uliingiza sasa habari kuwa "Tanzania Tech has raised a total of $1B in funding over 1 round." Hii inamaanisha nini? Bilioni USD moja???? Haiwezekani. Nanusu fake nzito. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 06:59, 14 Januari 2022 (UTC)
:::Ok '''[[Mtumiaji:Amanijoseph87|Amanijoseph87]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Amanijoseph87|majadiliano]])''' 11:28, 19 Januari 2022 (UTC)