Harambee : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Coat of arms of Kenya (Official).svg|thumb|Picha ya Harambee -Kenya]]
'''Harambee''' ni neno ambalo lilitungwa na hayati Mzee [[Jomo Kenyatta]] (rais wa kwanza wa Jamhuri ya [[Kenya]]) ili kuwapa motisha wafanyakazi na hasa wale wanaofanya kazi nzitonzito.