Tofauti kati ya marekesbisho "Mdudu mabawa-manyoya"

1,030 bytes added ,  miezi 5 iliyopita
Spishi za Afrika ya Mashariki
(Masahihisho katika sanduku)
(Spishi za Afrika ya Mashariki)
 
 
[[Lava]] wa [[spishi]] nyingi huishi majini lakini wale wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Limnephilidae]] huishi kwenye ardhi. Wanatoa [[hariri]] ili kuitengenezea utando au kipeto. Wanaotengeneza utando huishi katika maji yanayotiririka. Utando ni kimbilio na inafaa kutega chakula ([[mnyama|wanyama]] wadogo, [[algae|viani]], masalio). Kipeto cha lava wengine ([[mdudu-kipeto|wadudu-kipeto]]) kinatumikia kwa kukinga kiwiliwili chororo dhidi ya adui na kinashirikisha vitu vigumu kama chembe za mchanga, vijiti, koa n.k. Lava anaweza kutoa kichwa na kidari (toraksi) na kutembea akivuta kipeto. Kuna lava ambao huishi majini bila utando au kipeto. Hawa hutumia hariri tu ili kutengeneza kifukofuko cha [[bundo]].
 
==Spishi kadhaa za Afrika ya Mashariki==
* ''Adicella vera''
* ''Anisocentropus fulvus''
* ''Athripsodes sagittatus''
* ''Cheumatopsyche meruana''
* ''Cheumatopsyche usambara''
* ''Chimarra elga''
* ''Chimarra kenyana''
* ''Chimarra somereni''
* ''Ecnomus dentatus''
* ''Ecnomus fuscus''
* ''Ecnomus mennelli''
* ''Helicopsyche annae''
* ''Helicopsyche bifida''
* ''Helicopsyche pedunculata''
* ''Helicopsyche stoltzei''
* ''Helicopsyche tanzanica''
* ''Helicopsyche usambarensis''
* ''Hydropsyche jeanneli''
* ''Hydropsyche plesia''
* ''Lepidostoma grana''
* ''Lepidostoma oma''
* ''Lepidostoma turka''
* ''Notoernodes inornatus''
* ''Oecetis caudata''
* ''Oecetis thikanensis''
* ''Pseudoxyethira glandulosa''
* ''Pseudoxyethira kenyella''
* ''Setodes gona''
* ''Setodes trifidus''
* ''Tinodes bicuspidalis''
* ''Tinodes guttatus''
* ''Tinodes rungweensis''
* ''Triaenodes elegantulus''
* ''Triaenodes hickini''
* ''Triaenodes tanzanicus''
* ''Ugandatrichia acuta''
* ''Ugandatrichia dentata''
* ''Ugandatrichia tanzaniensis''
 
==Picha==
11,367

edits