Haumea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:2003EL61art.jpg|250px|thumb|Kielelezo cha Haumea na miezi yake]]
[[Picha:Haumea Rotation.gif|250px|thumb|Mbingirio wa Haumea]]
'''Haumea''' (alama: [[file:Haumea symbol (bold).svg|16px]])<ref>{{cite web |url= https://www.jpl.nasa.gov/infographics/what-is-a-dwarf-planet |author= JPL/NASA |date= 2015-04-22 |website= Jet Propulsion Laboratory |title= What is a Dwarf Planet? |access-date= 2022-01-19}}</ref> ni [[sayari kibete]] inayozunguka [[jua]] letu katika [[umbali]] mkubwa kwenye [[ukanda wa Kuiper]]. Ilitambuliwa [[mwaka]] [[2004]]. Ina umbo la [[duaradufu]]; kipenyo chake baina ya ncha zake ni kilomita 1,138 lakini kipenyo kwenye ikweta ni kati ya km 2322 na km 1704. Umbo hili linatokana na mzunguko wa haraka kwenye mhimili wake.
 
Haumea ina [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] miwili: [[Hiiaka]] na [[Namaka]].