Kanisa la Kiorthodoksi la Eritrea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8.5
Mstari 17:
 
==Desturi==
[[Ndoa]] huweza kuanzishwa au kupangwa wakati [[mwanamume]] ana [[umri]] wa miaka kumi na..., au ishirini na...<ref name=AHolocaust>[http://www.africanholocaust.net/africanmarriageritual.html African Marriage ritual]{{Dead link|date=December 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}</ref> [[utamaduni|Kiutamaduni]], [[wasichana]] wanaruhusiwa kuolewa wakiwa na umri wa miaka 14 hadi 18, lakini katika [[karne ya 20]], mambo yamebadilika, hivyo sasa umri mdogo kuliko wote wa kuolewa ni miaka 18, na suala hili linasimamiwa na [[serikali]]. [[Ndoa ya kiserikali|Ndoa za kiserikali]] ni nyingi japo pia, wapo watu wanaofunga ndoa katika makani mbalimbali. Na baada ya kufunga ndoa kanisani, suala la [[talaka]] halipo na haliwezekani.<ref name="AHolocaust"/> Kila [[familia]] hufanya [[sherehe]] ya ndoa baada ya [[harusi]].
 
Tangu kuzaliwa, [[padri]] hutembelea familia kwa ajili ya kumbariki [[mtoto]], na pia [[tohara|kutahiri]] mtoto kama ni wa kiume. [[Mama]] wa mtoto, hutakiwa kukaa ndani kwa siku 40 baada ya kujifungua kama mtoto ni wa kiume na kukaa ndani kwa siku 80 kwa mtoto ni wa kike kabla ya kwenda kanisani kwa ajili ya [[ubatizo]].